Ndoto ya Suki

Ndoto ya Suki

  • KSh290.00


Suki huona watu kwenye runinga. Yeye pia anatamani kuingia kwenye runinga ili atazamwe na watu. Anatafuta upenyu wa kumfikisha ndani ya runinga bila mafanikio. Je, ataingiaje ndani ya runinga? Soma ili ujue jinsi ndoto ya Suki
inatimizwa.