I Can Touch

I Can Touch

  • KSh290.00


Mfululizo wa hisia za kusisimua

Hadithi hii ni ya watoto wenye umri wa miaka 4-6 (Darasa la 1 la ECD). Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza juu ya hisia zao.

 Inatumia maneno rahisi kusaidia mazoezi ya msomaji wa mwanzo na kujifunza maneno muhimu.

We Also Recommend