Mtindo Maridadi wa Nywele

Mtindo Maridadi wa Nywele

  • KSh290.00


Kendi hapendi mtindo wa kusukwa laini akisema ni wa kawaida. Mato pia hapendi mtindo wa kunyolewa nywele almaarufu box cut. Wanataka mitindo maridadi zaidi duniani. Wanatamani mitindo ya nywele mbalimbali ya wapitanjia. Kila mmoja atachagua mtindo upi?