Nyani Anapata Funzo

Nyani Anapata Funzo

  • KSh290.00


Nyani Mkubwa anataka kutambulika kama shujaa. Anawadhihaki wale anaokisia kwamba hawana nguvu kama zake, hususan Ndovu na Panya. Wanyama wanapokumbwa na hatari, ni nani anayeitwa kuwaokoa? Je, ni nani
anayedhihirisha ushujaa wa kweli?