Ari ya Pasha

Ari ya Pasha

  • KSh347.00


Nyanya na mama wa mhusika mkuu, Pasha, wanashikilia kwamba msichana hana budi kupashwa tohara ndipo awe mke wa thamani siku za usoni. Wanapanga njama ya
kumpasha tohara Pasha. Pasha anang’amua nia yao na kutoroka usiku. Anarudi mjini, anakoishi na wazazi wake.
Soma hadithi upate maelezo zaidi.

Customer Reviews

Based on 4 reviews Write a review

We Also Recommend