
Malipo ya Ukaidi
Hadithi za Kusisimua Zinazofundisha Stadi za Maisha
Hadithi hii ni ya watoto wenye umri wa miaka 9-10 (Kiwango cha 3-4).
Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza jinsi ya kuwa watiifu kila wakati kwa
sababu uchaguzi una matokeo
Kilo na Meme wanapenda kuogelea. Mama anapoondoka kwenda sokoni, wanaamua kwenda mtoni bila ruhusa yake. Je, watakumbana na nini mtoni?