Mwito wa Moto

Mwito wa Moto

  • KSh224.00


Tieni na ndugu zake wamekaa chumbani mwa nyanya yao wakingoja chakula chao kitamu kiive. Akiwa huko jikoni, Tieni anaanza kusikia sauti zikimwita kutoka kwenye moto. Mababu wanamwita kwenye moto! Wanamvuta karibu zaidi! Je, ataanguka kwenye moto?