Nundu ya Ngamia

Nundu ya Ngamia

  • KSh290.00


Hadithi za Kusisimua Zinazofundisha Stadi za Maisha

Hadithi hii ni ya watoto wenye umri wa miaka 9-10 (Kiwango cha 3-4).

Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza stadi za maisha Mada: Vitu tunavyokataa viruhusu virejee nyuma

Gomongo anakusanya mchanga na kuubeba mgongoni kila mara licha ya kuonywa na rafiki yake Niko. Anadai kwamba mzigo huu ni kumbukumbu ya maisha yake ya jangwani. Je, mzigo huu unamwathiri vipi baadaye?


We Also Recommend