Safari ya Penseli Pisho

Safari ya Penseli Pisho

  • KSh320.00


Pisho, penseli, anatoweka kutoka kwa Musa, mmilikaji wake. Anapodhani amepata uhuru kwa kutoroka, anakumbana na masaibu chungu nzima katika safari yake. Mathalani, anatumiwa kutoa nta masikioni, anatumiwa kama brashi na kuwa mlingoti wa bendera. Isitoshe, wakati mwingine anatafunwatafunwa kama chakula. Je, Pisho atastahimili masaibu haya yote? Ataweza kurejea nyumbani siku moja?