Shambulizi la Akina Shida

Shambulizi la Akina Shida

  • KSh378.00


NGUVU KWA NAMBA

Hadithi hii ni ya watoto wenye umri wa miaka 11-15 (Darasa la 6-kidato cha 2). Ni kitabu cha uwongo cha sayansi.

Mada: Thamani za uvumilivu wa kikabila, usawa na kutobagua

Katika mji mmoja ulioko kaskazini mwa jangwa, watu wa jamii tatu wanategemea maji kutoka kisima kimoja. Mara, maji yanaanza kupotea kisimani kila usiku. Jamii zote tatu zinanyoosheana vidole vya lawama kwa sababu ya tukio hili na ugomvi unazuka kati yao. Tosha, Shana na Pato wanagundua kuwa wako na nguvu za kipekee. Ni wao tu katika jamii nzima ndio wanaotambua kuwa viumbe wanaoiba maji ni wageni kutoka sayari kame iliyoko mbali na dunia. Lakini hakuna anayeamini maneno yao. Je, wanaweza kuwakomesha viumbe hawa kunyonya maji yote kisimani na kusababisha vita?


We Also Recommend