Shani Katika Njia Panda

Shani Katika Njia Panda

  • KSh379.00


Hadithi inayofundisha stadi za maisha Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 12 -14 (Kiwango cha 7-8).
Inahusu heshima kwa wazazi na kushughulikia shinikizo la rika kwa vijana.

Shani anakumbwa na furaha ya kupindukia rafiki yake,Jaki, anapomchagua kuandamana naye hadi Afrika Kusini. Mjomba wa Jaki anajitolea kugharamia ziara hiyo. Hata hivyo, mamake Shani anashuku nia ya mjomba kumpeleka mwanawe Afrika Kusini. Mama anajaribu kumshwawishi Shani kupuuza pendekezo hilo kwa kumwekea vikwazo. Shani aliye na hamu kuu kwenda ughaibuni anakwea vikwazo vyote hadi mzazi wake anamkubalia kwenda Afrika Kusini. Mbona Mama Shani anashuku ukarimu wa mjomba? Soma hadithi ufumbue fumbo.


We Also Recommend