Visanga vya Mjomba

Visanga vya Mjomba

  • KSh347.00


Mzee Makuta anasisitiza kwamba mwanawe wa kupanga, Belo, arudi kwa baba mzazi ama amtaliki mkewe. Belo anapelekwa kwa Mjomba anayeishi mbali na kwao.
Mjomba anapomtesa, Belo anatoroka na kurudi kwa nyanya mzaa mama. Juhudi za kumjua baba mzazi zinagonga ukuta. Belo anapita mtihani wa Darasa la Nane kwa
kuzoa alama za juu lakini anakosa karo ya sekondari. Anatafuta ufadhili kupitia mtandaoni. Kilabu cha Marekani kinafadhili masomo yake akikichezea kandanda. Nyota yake iking’aa zaidi, Mjomba anajitokeza kujivunia ushindi wake. Wakati uo huo
mwanamume anayedai kuwa baba mzazi anajitokeza. Belo yuko katika njiapanda. Ataegemea upande upi?

We Also Recommend