Paka Onja

Paka Onja

  • KSh290.00


Paka onja anahisi njaa ya kupindukia. Mate yanamdondoka anapoingia kwenye hoteli na kuona sahani zilizojaa vyakula tofauti. Anaonja vyakula hivyo na kuvitema mara moja. Kwa nini anavitema ingawa ana njaa? Paka onja atakula nini? Soma hadithi hii ya kusisimua upate majibu.