Uhasidi Wa Dama

Uhasidi Wa Dama

  • KSh320.00


Sidi anapokea zawadi ya kupendeza zaidi kutoka kwa baba yake; hando lenye rangi za upinde wa mvua. Hakuna yeyote katika kijiji chao aliyewahi kuona kitu kama hicho. Alopoamua kuivaa sketi yake mpya kwenye densi ya kijijini, alivunja ahadi aliyoiweka kwa rafiki yake wa chanda na pete, Dama. Kwa kulemewa na wivu, Dama anapanga njama ambayo inahatarisha uhusiano wao. Je, wasichana wawili hao watafanikiwa kuuchagua urafiki wao kuliko viti vingine wanavyomiliki?

We Also Recommend