Kiumbe Katili

Kiumbe Katili

  • KSh290.00


Kiumbe cha ajabu kinafika duniani. Kinagutuka kinapoona watu wakiheshimiana na kuishi kwa amani. Kinashikwa na wivu na kupanga njama ya kuharibu hali. Je, kinafanikiwa? Soma hadithi ufumbue fumbo.