Ah! Ajizi

Ah! Ajizi

  • KSh261.00


Ah! Ajizi ni hadithi ya kuvutia inayohusu vijana wawili, Ajizi anajiingiza katika maisha ya kutotii wazazi na walimu. Hatimaye, anatumia dawa za kulevya zinazomfanya kuwa kichaa na kuugua kisha baadaye kuaga dunia. Juhudi kwa upande wake ni mwenye heshima na anafanikiwa maishani.