Mbio ya Ajabu

Mbio ya Ajabu

  • KSh248.00


Kamau anajitayarisha kukimbia mbio ambayo hajawahi kukimbia maishani mwake. Lakini baba atakuja kumwona akiwania mbio hiyo? Je, miale ya uganga-uganga itamsaidia? Na je, mpinzani wake mkuu anaweza kufanya chochote ili asishinde?