Ninajipenda

Ninajipenda

  • KSh198.00


Watoto wadogo huwa na hisia kama vile watu wazima pia walivyo na hisia. Mifano ya hisia ni kama vile huzuni, furaha au hasira. Hisia ni asili kwa binadamu kwa hivyo hakuna hisia sahihi na isiyo sahihi. Hata ingawa hapana mtu anayeweza kudhibiti hisia, unaweza kumpa mtoto mwongozo wa jinsi ya kufanya anapokumbwa na hisia tofauti.