Nundu ya Ngamia

Nundu ya Ngamia

  • KSh290.00


Gomongo anakusanya mchanga na kuubeba mgongoni kila mara licha ya kuonywa na rafiki yake Niko. Anadai kwamba mzigo huu ni kumbukumbu ya maisha yake ya jangwani. Je, mzigo huu unamwathiri vipi baadaye?