Nyota Mdogo

Nyota Mdogo

  • KSh186.00


Nyota Mdogo ni hadithi ya kuvutia inayohusu nyota zenye sifa za kibinadamu, kwarara na bintimfalme. Nyota Mdogo anamwokoa bintimfalme kutoka msituni hadi akapewa jina Nyota Jasiri na mfalme.