Punda Mvivu

Punda Mvivu

  • KSh290.00


Nunda ni punda mvivu. Anajifanya mgonjwa ile abebe mzigo mwepesi wa pamba. Nduguye Siti anabeba mzigo mzito wa chumvi. Wanapofika mtoni chumvi inayeyuka kwa maji ilhali pamba inafyonza maji na kuongezeka uzito. Je, Nunda atafanya nini?