Tumbiri Kibonge

Tumbiri Kibonge

  • KSh290.00


Tumbiri anajidharau anapotambua kwamba umbo la mwili wake ni dogo. Anajitahidi kujinenepesha kwa namna yoyote iwayo.