Tuzo la Uaminifu

Tuzo la Uaminifu

  • KSh290.00


Ili kuteuwa kiongozi mpya, Simba mzee anawapa Kiboko, Kifaru na Ndovu mtihani tata. Kila mmoja anataka kuwa mshindi na kuteuliwa kiongozi wa jangwani. Nani atashinda?