Azizi na Mawe ya Miujiza

Azizi na Mawe ya Miujiza

  • KSh290.00


Azizi na baba wanaona maajabu wanapotembelea duka la waganga. Mganga anafanya miujiza ambayo inabadili makaa kuwa mawe ya ajabu. Je, Azizi atatumia mbinu gani kupata mawe hayo?