Chunga Adabu Yako

Chunga Adabu Yako

  • KSh235.00


Mfudishe mtoto wako njia nzuri ya kuishi na wenzake katika jamii akiwa mwenye umri mdogo ili tabia njema iwe mwenendo wa upole kwa mtoto wako na umweleze kwamba hayo ni maneno ya adabu. Mhimize mtoto wako atumie maneno ya adabu yaliyotumika katika kitabu hiki. Miongoni mwa maneno hayo ni: habari ya asubuhi, tafadhali, pole, asante, samahani, uwe na siku njema, afya!, Kwaheri na usiku mwema.


We Also Recommend