Chura Jasiri
Shida inayowakumba vyura wawili, Hana na Chanya ni moja lakini fikira na mielekeo yao kuhusu shida hiyo ni tofauti. Je, ni nani anayejiokoa?