Damu ya Simba

Damu ya Simba

  • KSh290.00


SIMULIZI ZA KUFURAHISHA ZINAZOFUNDISHA MAISHA YA MAISHA

Hadithi hii ni ya watoto wenye umri wa miaka 8-9 (Kiwango cha 2-3). Ni kitabu
kinachofundisha watoto daima kuwa na imani ya kibinafsi kushinda woga.

Bata Kwekwe ni mwoga wa kupindukia hadi wenzake wanamdhihaki, anapotumwa na mamaye shambani, mabata wenzake wanamzuia njiani na kumnyang'anya kikapu. Anatoroka na kukutana na Nyoka jasiri. Je, Nyoka anamsaidia vipi kuibua sifa ya ujasiri?


We Also Recommend