Gamba Apiga Ngoma
Gamba anapenda kuwatazama Luka na Lusi wakipiga ngoma. Gamba anapenda kuimba na kucheza. Hata hivyo, hamu yake ni kupiga ngoma. Isome hadithi hii ugundue jinsi Gamba anavyojitahidi, wakati huo huo akiburudika, kutimiza ndoto yake.