Joto la Moyo

Joto la Moyo

  • KSh180.00


Bwire anaishi na nyanya na babu zake ambao hawana bee wala tee ijapokuwa wao ni wazazi wa daktari mashuhuri jimboni. Licha ya changamoto chungu nzima, Bwire ana ndoto maishani. Amefua dafu katika mtihani wa taifa wa Darasa la Nane. Atatoa wapi pesa za kusomea shule ya upili? Ndoto yake itafifia? Nyanya yake, Bi Zahara, anampasulia mbarika kuhusu hali iliyowakumba wazazi wake hata wakasalia mafuta na maji. Taarifa anayopata kwamba mama yake anaishi Eldoret inamchochea kufunga safari kuenda kumtafuta. Je, atampata mama yake?
Joto


We Also Recommend