Kaka Sungura

Kaka Sungura

  • KSh290.00


VITUKO VYA KUSISIMUA VINAVYO FUNDISHA SOMO LA MAISHA

Hadithi hii ni ya watoto wenye umri wa miaka 10-11 (Kiwango cha 4-5). Ni kitabu
kinachofundisha uonevu huumiza, sifa huhimiza

Wanafunzi wenzake walimbandika jina ‘Kaka Sungura’ kwa sababu meno yake yalifanana na ya sungura. Mvulana huyo wa Darasa la Nne alipochoshwa na uchokozi, alibuni mbinu maalumu za kukabiliana na wanafunzi hao wakorofi. Je, mbinu hizo zilifaulu? Jisomee hadithi hii ya kuvutia utambue njia za kupambana na utani.


We Also Recommend