KCSE Kiswahili

KCSE Kiswahili

  • KSh576.00
  • Save KSh53


Kitabu cha marudio cha KCSE Score More Kiswahili kimeshughulikia silabasi nzima ya sekondari kutoka Kidato cha Kwanza hadi kidato cha Nne. Kitabu hiki kinawaadaa watahiniwa kikanilifu mtihani wa kitaifa wa KCSE.

Vipengele muhimu 

  • Kitabu kimegawika katika sehemu tatu: KARATASI YA KWANZA, KARATASI YA PILI NA KARATASI YA TATU namna ilivyo katika mthani wa kitaifa wa KCSE.
  • Kila sehemu imeelezwa kwa ufasaha na hoja kufafauliwa kwa ufupi wenye kina kirefu. Karatasi zote zinaangazia malengo ya silabasi kutoka Kidato cha Kwanza hadi Kidato cha Nne.
  • Maelezo yame tolewa katika kurasa zilizoruwazwa na kusanifiwa kwa ustadi wa hali ya juu.
  • Mwishoni pana vielelezo vitano vya mtihani wa KCSE vyenye uzito na mfumo wa mtihani wa kitaifa.
  • Masuala ibuka yamefafanuliwa katika hoja mbalimbali.
  • Majibu ya vielezo vya mtihani wa KCSE yametolewa mwishoni mwa kitabu. Waandishi wa kitabu hiki ni walimu wenye tajrida pana katika ufundishaji wa Kiswahili wakiwa wamefundisha katika shule nyingi maarufu nchini. Pia wengine ni watahini wakuu wa mtihani wa KCSE Katika Kiswahili.

We Also Recommend