
Koko Riko Nani Ameniamsha?
Mfululizo wa Kokoriko- Hadithi za kufurahisha kwa watoto
Hadithi hii ni ya watoto wenye umri wa miaka 4-6 (Darasa la 1 la ECD). Ni hadithi ya
kusisimua na wahusika wa kuchekesha ambayo itakufanya ugeuke kurasa na kusoma kitabu
tena na tena.