
Koko Riko Toroka Ujiokoe
Ni siku yenye joto. Koko Riko anashikwa na uwoga anapoona kitu cheusi kwenye ardhi upepo unapovuma. Anatoka mbio na kuwahimiza wanyama watoroke ili kumwepuka ‘mnyama’ huyo hatari. Mnyama huyo ni mnyama gani? Soma hadithi upate uhondo.