Kwa Nini Senene Huimba Usiku
Mama Senene anaenda kuwatafutia watoto wake chakula. Je, watoto wake watamsubiri kurudi jioni kama anavyowaagiza? Soma hadithi hii ya kusisimua upate majibu.