Maajabu

Maajabu

  • KSh155.00


Watoto huvutiwa zaidi na hadithi za kustaajabisha hasa za kubuni. Akili zao changa huamini wanayosimuliwa bila kudadisi, hali inayowafanya kufuatilia hadithi kwa makini. Katika kitabu hiki, mwandishi amelenga matukio yasiyo ya kawaida ambayo, bila shaka, yatawachekesha wasomaji. Mbali na kuwaburudisha, hadithi hii itawafundisha watoto msamiati wa wanyama, majina ya vyumba tofauti katika nyumba pamoja na kazi zinazofanywa nyumbani.


We Also Recommend