Masaibu ya Mwende

Masaibu ya Mwende

  • KSh379.00


Hadithi inayofundisha stadi za maisha Hadithi hii ni ya watoto wenye umri wa miaka 12-14 (Kiwango cha 7-8).
Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza kuwa kudumisha uhusiano mzuri na familia na marafiki ni muhimu sana.

Mwende, msichana wa miaka kumi na mitatu anajipata matatani anapojiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi na mvulana mmoja shuleni kwao. Jambo hili linasababisha mtafaruku kati ya Mwende na shangazi yake mlezi. Je, mvutano huu kati ya msichana na shangaziye utazaa matunda yanayofaa kwa wote wanaohusika? Jisomee hadithi hii uone yanayojiri.


We Also Recommend