Matatu Baharini

Matatu Baharini

  • KSh290.00


Dereva mwenye ujeuri anaendesha matatu jasiri akiongozwa na Utingo Pweza hadi Bahari Hindi. Wanatarajia kutengeneza pesa nyingi baada ya kuwabeba abiria. Badala yake, wanakutana na viumbe wa ajabu wa majini wanaowafunza mafunzo mawili matatu. Hadithi hii inasimuliwa kwa
kukaririwa kama shairi linalotiririka.

We Also Recommend