
Mkia wa Ngiri
SIMULIZI ZA KUFURAHISHA ZINAZOFUNDISHA MAISHA YA MAISHA Hadithi hii ni ya watoto wenye umri wa miaka 8-9 (Kiwango cha 2-3).
Ni kitabu kinachofundisha watoto kuwa jasiri hata wakati wanaogopa.
Utawaona ngiri mara nyingi katika maeneo tambarare ya barani Afrika. Wao utembea sanjari wakiwa katika makundi madogo madogo. Wana mikia mirefu myembamba yenye kishungi cha nywele. Wao hutembea wakiinua mikia hiyoikawa kama bendera.