Mweri na Ndege wa Ajabu

Mweri na Ndege wa Ajabu

  • KSh299.00


Mweri ana mwili mdogo sana kwenda kuwinda porini kama wavulana wengine  wa rika lake. Wenzake humfanyia mzaha kwa sababu hufikiri yeye ni mdogo wa kimo na mnyonge. Mweri alipojifunza kutoka ndege wa ajabu kuwa watu wake wako hatarini, ilibidi atafute njia za kuwaokoa. Je, wanakijiji watamwamini huyo Mweri mdogo?

  • Author: Sarah Haluwa
  • Publisher: Storymoja Publishers
  • Level: Grade 5
  • Number of pages: 43

We Also Recommend