Nana Yuko Wapi?

Nana Yuko Wapi?

  • KSh290.00


Nana ni sungura mdogo mwenye vipaji chungu nzima. Anavikuza vipaji vyake kwa bidii. Licha ya hayo, Nana haachi kufanya kazi shambani.Je, ana vipaji vipi? Je, anafanikiwa katika shughuli zake za shambani?