Nani Mfalme

Nani Mfalme

  • KSh320.00


Tai alichoshwa na ubabe wa simba Nguruma porini. Wanyama wanautukuza mgurumo wake unaowalinda dhidi ya wawindaji. Tai anahisis kuwa wanyama wengine inabidi watambue maono yake thabiti. Anaamua kupanga njama ili wanyama wamsusie Nguruma na kumkomesha asingurume tena. Baada ya ukimya mrefu wa kutosikika mngurumo porini, wawindaji walirudi kuwavamia kwa kishindo. Juhudi za Tai kuwaokoa wanyama hazikufua dafu. Je, wanyama walipata mwingine wa kuwanusuru?

We Also Recommend