Ndege wa Amani

Ndege wa Amani

  • KSh290.00


Wakazi wa vijiji vya Keru na Kairu wanaishi kwa amani hadi wanapokumbwa na kiangazi. Hatimaye, wanaanza kupigania maji ya Mto Kanyaboli. Ndege anawaimbia wimbo wa amani. Je, wanajeshi watautii ujumbe wa ndege?


We Also Recommend