Panya na Chura
Chura na Panya ni majirani. Panya anamwalika Chura nyumbani kwake kisha urafiki wao unaanza moja kwa moja. Je, urafiki huu umejikita kwenye ukweli na uaminifu au la? Soma hadithi hii ili upate uhondo kamili