Rafiki Mwongo

Rafiki Mwongo

  • KSh290.00


Neema na furaha wamechelewa shuleni. Furaha anataka tu waingiie shuleni waadhibiwe na kuendelea na masomo. Neema ana wazo tofauti. Anataka wakwepe adhabu na, hatimaye, waingie darasani, kisiri. Je, mpango wa Neema utafaulu? Soma hadithi ujue yaliyowapata marafiki hao.