Rafiki yangu Kilomi

  • KSh235.00


Kitabu kuhusu watu wanaoishi na ulemavu

Hadithi hii ni ya watoto wenye umri wa miaka 4-6 (Darasa la 1 la ECD).
Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza kuwa ulemavu sio kukosa uwezo. Kilomi hawezi kutembea lakini anaweza kufanya mambo mengine mengi.


We Also Recommend