Rozi Anajuta

Rozi Anajuta

  • KSh290.00


Hadithi hii inamfundisha watoto umuhimu wa kuomba msamaha wanapo kosea. Tena inawafundisha watoto kuwa makini wanapotumwa kwenye duka. Msomaji pia atakuza msamiati na ufahamu wake.