Tesi na Mwalimu Paka

Tesi na Mwalimu Paka

  • KSh290.00


SIMULIZI ZA KUFURAHISHA ZINAZOFUNDISHA MAISHA Hadithi hii ni ya watoto wenye umri wa miaka 8-9 (Kiwango cha 2-3). Ni kitabu
kinachofundisha watoto kusema ukweli kila wakati licha ya hali hiyo.

Mwalimu Paka ana wanafunzi wenye bidii masomoni. Tesi ni mmoja wa wanafunzi hao. Anawatuza wanafunzi wake kwa bidii zao. Katika harakati ya kuwatuza, pesa zake zinapotea.Je,ni Tesi ama ni nani aliyezichukua pesa hizo.Je, pesa hizo zitapatikana?


We Also Recommend