Tuzo ya  Ujasiri

Tuzo ya Ujasiri

  • KSh320.00


Wanafunzi wa darasa la nne wanatembelea mbuga ya wanyama ya Nairobi. Wanaelezwa mengi kuhusu wanyamapori na wawindaji haramu. Hata hivyo, wnavutiwa na kuburudishwa zaidi na vituko vya tumbiri mcheshi. Wanaondoka wakimjadili tumbiri huyo mwenye tabia zinazofanana na binadamu


We Also Recommend