Uamuzi wa Wanyama

Uamuzi wa Wanyama

  • KSh290.00


Kwa miaka na mikaka, wanyama katika msitu wa Ngome wameishi kwa amani. Mfalme Simba anaandaa karamu ya kusherehekea urafiki baina ya wanyama. Hata hivyo, karamu inakatizwa wanyama wanaposhambuliwa kwa vijiti kutoka angani. Baadhi ya wanyama wanakufa. Wanyama wanaosalia wanalazimika kupambana na adui wasiyemfahamu. Vita vinabadili vipi uhusiano miongoni mwa wanyama?

We Also Recommend