Usijilinganishe- Na Hadithi Nyingine

Usijilinganishe- Na Hadithi Nyingine

  • KSh320.00


Zawadi anatamani awe kama Dorothy, rafiki yake. Dorothy alikuwa mtanashati na aliyekuwa na kila kitu ilhali yeye, Zawadi, vaitu na nguo anazovaa ni mpaka zichakae ndipo zibadilishwe.
Dorothy naye alimhusudu Zawadi lakini hakudhihirisha. Dorothy aliwaalika wenzake kuhudhuria sherehe ya kuzaliwa kwake lkaini aliificha makusudi kadi ya mwaliko ya Zawadi. Kwa nini? Je, Zawadi aligundua hilo? Zawadi alitambua mtazamo gani alipojipeleka nyuumbani kwa kina Dorothy kuhudhuria sherehe bila kualikwa? Soma hadithi hii, miongoni mwa nyingine, ujue alichogundua Zawadi. 
  • Author: Muthoni wa Gichuru
  • Publisher: Storymoja Publishers
  • Level: Grade 5
  • Number of pages: 56

We Also Recommend